Revelation of John 15:1

Malaika Saba Na Mapigo Saba

1 aNdipo nikaona ishara nyingine kubwa ya ajabu mbinguni: malaika saba wenye yale mapigo saba ya mwisho, kwa sababu kwa mapigo hayo ghadhabu ya Mungu ilikuwa imekamilika.
Copyright information for SwhNEN